Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga (Kulia) akizungumza na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani uliomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji katika sekta za nishati na madini.
Katibu wa Nchi kutoka Wizara inayohusika na Masuala ya Uchumi na Nishati ya Ujerumani Mattias Machnig (kulia) akisisitiza jambo katika kikao kilichokutanisha ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani na Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji katika sekta za nishati na madini nchini.
Naibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga (Kulia) akisisitiza jambo wakati alipokutana na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani uliomtembelea ofisini kwake kwa ajili ya kujifunza fursa za uwekezaji katika sekta za nishati na madini.
Katibu wa Nchi kutoka Wizara inayohusika na Masuala ya Uchumi na Nishati ya Ujerumani (wa tatu kutoka kushoto waliokaa mbele) akielezea maeneo katika sekta ya nishati ambayo nchi ya Ujerumani ingependa kuwNaibu Waziri wa Nishati na Madini Charles Kitwanga na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi Ngosi Mwihava pamoja na ujumbe wa wafanyabiashara kutoka nchini Ujerumani wakifuatilia kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Kamishna Msaidizi wa Nishati anayeshughulikia masuala ya umeme, Mhandisi Innocent Luoga ( aliyekaa mbele wa kwanza kushoto) juu ya fursa za uwekezaji katika sekta ndogo ya umeme.
No comments:
Post a Comment