Mwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman (kulia) akimka Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Mr. Kubingwa Mashaka Simba katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) yaliyofanyika Shule ya VIP mwanakwerekwe Mjini Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)
Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akitoa nasaha na kufunga Mafunzo ya siku tu ya matumizi sahihi ya Mitandao ya kijamii (Social Media) yaliyofanyika Shule ya VIP mwanakwerekwe Mjini Zanzibar (kulia) Mwenyekiti wa Jumuiya ya Elimu Zanzibar (ZEDO) Ussi Said Suleiman na (kushoto) Mjumbe wa kamati ya wazazi Ndugu. Makame Ameri Yusuf. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar)Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba akimkabidhi Cheti mmoja wa wanafunzi wa (Social Media) Suhaila Humoud Hilal.Mgeni Rasmin Kamishna wa Kazi na Utumishi wa Umma Zanzibar Mr. Kubingwa Mashaka Simba (wakatikati) waliokaa wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wa Mafunzo ya siku tatu ya matumizi ya Mitandao ya kijamii (Social Media).
No comments:
Post a Comment