Sunday, November 02, 2014

RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MAREHEMU MEJA JENERALI AIDAN ISIDORE MFUSE

unnamedAmiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisaini kitabu cha
Maombolezo wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2,
2014
unnamed1 Waziri wa Ulinzi Dkt Hussein Mwinyi na Waziri wa Ujenzi Dkt John
Pombe Magufuli wakitoa heshima zao za mwisho wakati wa kuaga mwili wa
Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya
JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili
huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika
leo Jumapili Novemba 2, 2014
unnamed2Rais Mstaafu Mhe Benjamin William Mkapa akitoa heshima za mwisho
wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana Novemba
1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014
unnamed4: Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange akifariji familia ya
marehemu  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2,
2014
unnamed5Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji familia ya
marehemu  wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan
Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es
slaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2,
2014
unnamed6Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake
za mwisho na kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali Aidan Isidore Mfuse
katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar es slaam jana Novemba
1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda Njombe kwa mazishi
yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2, 2014
unnamed8Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Mstaafu Mhe

Benjamin William Mkapa, Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt
Hussein Mwinyi, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli, Mkuu wa
Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Luteni
Jenerali Samuel Ndombe wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Meja Jenerali
Aidan Isidore Mfuse katika hospitali kuu ya JWTZ ya Lugalo jijini Dar
es slaam jana Novemba 1, 2014  kabla ya mwili huo kusafirishwa kwenda
Njombe kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika leo Jumapili Novemba 2,
2014
PICHA NA IKULU

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...