Friday, November 21, 2014

NHC yawapiga msasa Wakuu wa Mikoa juu ya mpango wake wa kuboresha ajira kwa vijana

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari akitoa mada kwenye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma
Bango linaloelekeza Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma

 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo wakifuatilia jambo kwnye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma
Baadhi ya washiriki wakifuatilia jambo kwnye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma
 Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick na Mkuu wa Mkoa wa Manyara Elaston Mbwilo wakifuatilia jambo kwnye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma

Waziri Mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda akikaribishwa na Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudensia Kabaka kwenye Kongamano la Wakuu wa Mikoa Kuhusu changamoto ya ajira kwa vijana lililokuwa na kaulimbiu " Ni wakati wa kuwawezesha vijana" lililofanyika Novemba 19-20 Novemba 2014 kwenye kituo cha mikutano St Gaspar, Dodoma

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...