Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa nne kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia), Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi (wa tatu kushoto), Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge, Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia) wakipiga makofi baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza, katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma juzi.
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (wa tatu kushoto) akipongezana na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (wa tatu kulia) baada ya kuzindua rasmi huduma mpya ya Airtel Money Timiza mjini Dodoma juzi. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi, Katibu Tawala wa mkoa wa Dodoma, Rehema Madenge (wa pili kushoto), Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Biashara wa Airtel, Arindam Chakrabarty (kulia).
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma juzi.
Nyerere Square, mjini Dodoma juzi.
katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana.
akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.
Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso wakati wa uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Money Timiza katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma juzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano.
mpya ya Airtel Money Timiza, uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
mpya ya Airtel Money Timiza, uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
Bendi ya Twanga Pepeta wakiwa na wadau wengine wa Airtel katika Picha ya pamoja mara baada ya uzinduzi
Nyerere Square, mjini Dodoma
Nyerere Square, mjini Dodoma.
baada ya huduma ya Airtel Money Timiza kuzinduliwa, zikifuata shangwe kutoka kwa wageni waalikwa kama hivi pichani.
Mkoa wa Njombe, Dk. Rehema Nchimbi akijimwaya mwaya jukwaani wakati wa uzinduzi katika viwanja vya Nyerere Square, mjini Dodoma jana. Dodoma, Rehema Madenge.
Nyerere Square, mjini Dodoma
mpya ya Airtel Money Timiza, uliofanyika katika viwanja vya Nyerere Squea, mjini Dodoma mwishoni mwa wiki.
======= ====== =======
………………………………………………………………………………………………….
·
Airtel Money Timiza, huduma mpya inayotoa mkopo wa muda mfupi kwa wateja wake kwa njia ya simu za mkononi
Mikopo ya masharti rahisi inayotoa fursa kwa wafanyabiashara wadogo kuweza kukuza kibiashara zao
Airtel Tanzania imezindua huduma itakayowawezesha wateja wa Airtel Money kupata mkopo kwa njia ya simu zao za mkononi kupitia Airtel Money.
Tanzania kwa ushirikiano na AFB ambayo ni kampuni ya Kiafrika iliyobobea katika huduma ya kutoa mikopon rahisi. Huduma hii nchini Tanzania itajulikana kama “Airtel Money Timiza” ambapo lengo lake ni kuungana na serikali katika kuwezesha wanannchi na wateja wa Airtel wote kujipatia mikopo ya haraka na ya muda mfupi kwa marejesho nafuu ya siku 7 hadi 28.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda alisema:”Uwezekano wa wananchi kuweza kupata mkopo wa muda mfupi ni motisha kubwa kwa wafanyabiashara wadogo na wakati hapa nchini .Kwa Airtel kushughulikia hitaji hili muhimu la wananchi , ni jambo la muhimu kwani wametuunga mkono serikali katika kutimiza mkakati yetu ya kuinua kipato cha wajasiriamali na kuwahamasisha kuweza kujiendeleza kibiashara. Ni dhahiri kwa upande mwingine, itasaidia kuchochea maendeleo ya kiuchumi hapa nchini”
Money Timiza unadhihirisha dhamira ya dhati ya Airtel ya kutoa huduma iliyo bora na nafuu ili kugusa maisha ya kila siku ya wateja wetu hapa Tanzania . Tunaamini huduma hii itaongeza kasi ya ukuzaji wa uchumi miongoni mwa makundi mbalimbali ikiwa ni pamoja na vikundi vya wanawake, wajasiriamali na watu binafsi.
tunaamini kwamba mikopo hii ya Airtel Money Timiza itakuwa kichochea cha upatikanaji wa huduma za mikopo kwa idadi kubwa ya wakazi waishio mbali na huduma za banki na hivyo kuwasaidia sana kuweza kumudu mahitaji yao ya muda mfupi na muda mrefu.”
“hii ni huduma ya mikopo ya kipekee tofauti na benki ambayo mara nyingi mteja hulazimika kuwa na historia ya uwekaji na utoaji katika banki hiyo, lakini mikopo ya afb inatolewa kutokana na jinsi ambavyo mteja anatumia simu.
mikopo ya papo kwa hapo kwa kuwa tu wateja wakudumu na waaminifu kwa Airtel. Hii itawasaidia sana watanzania kwa mara ya kwanza kupata msaada wa haraka wa kifedha kwa haraka na nafuu, Ni imani yangu itasaidia kubadilisha mfumo wa maisha kwa watanzania wengi wenye uhitaji’
Timiza ni huduma ya kipekee, kutokana na urahisi, ni huduma iliyozingatia mahitaji ya kina kabisa ya mkopaji kwa kuondoa baadhi masharti ambayo mara nyingi yamekuwa yakikwamisha wateja kupata msaada wa haraka wa mkopo ili kujikimu”.
mteja aweze kupata mkopo hakikisha tu namba yako imesajiliwa na huduma ya Airtel Money na anapaswa uwe umetumia huduma ya Airtel Money kwa kipindi cha siku 30, kisha piga *150*60 # na kuchagua TIMIZA ili ujichagulie kiasi unachotaka kukopa kulingana na mahitaji yako au kulipa mkopo.
wa Airtel Money Timiza utatakiwa kulipwa ndani ya siku 28 kutoka kwenye akaunti yako ya Airtel Money kama mteja mkopaji ulivyojulishwa siku alipokopa mkopo wake.
ya Airtel Money ni salama na rahisi ambayo inawawezesha wateja kutuma na kutoa fedha kati ya simu moja ya mkononi na kwenda nyingine katika mitandao yote , kununua muda wa maongezi kwa ajili yako au ndugu jamaa na marafiki. Na pia inampa uhuru mteja kuweza kulipa bili na vile vile kununua bidhaa popote alipo.
No comments:
Post a Comment