Sunday, November 02, 2014

DK SHEIN ASHUHUDIA SHEREHE ZA KMKM USHINDI MISIMU MIWILI

unnamedRais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisaliniana na Mkuu wa KMKM KomodoreHaasan Mussa alipowasili katika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali zilizofanyika viwanja vya KMKM jana,[Picha na Ikulu.]unnamed1Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiteta jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri katika sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali mbali zilizofanyika viwanja vya KMKM jana,[Picha na Ikulu.]unnamed2Mshindi wa kwanza wa mbio za kilomita 10 Philip Jacob Mambo wa Mafunzo akifika mfundani kutoka Kibweni KMKM hadi viwanja vya Maisra Mjini Zanzibar palipofanyika   sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,[Picha na Ikulu.]unnamed3Mshindi wa kwanza wa mbio za makundi maalum ya watu wenye Ulemavu Ali Abdalla kilomita 5 akifika mfundani kutoka Mtoni Mkapa Road hadi  viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar palipofanyika   sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,[Picha na Ikulu.]unnamed4Kamanda Haidari akiwa kama kocha kwa Timu yake ya Makamanda waliostaafu wa KMKM katika sherehe za  sherehe za KMKM kwa ushindi wa timu zake kushinda misimu miwili mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,zilizofanikisha kwa mchezo wa kuvuta Kamba na hatimaye timu hii ya wastaafu iliwashinda Maofisa walio kazini kwa kuwatoa katika raund zote mbili jana viwanja vya Maisara .[Picha na Ikulu.]unnamed5 Kundi la Watu wenye ulemavu wakiwa katika viwanja vya maisara katika kusherehekea Sherehe za KMKM kwa kushinda timu zake  misimu miwili  mfulizo michezo mbali  mbali  kutoka 2013-2014 mpaka 2014/2015,wakifuatilia kwa makini mwendelezo mzima wa sherehe hizo wakati mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana,[Picha na Ikulu.]unnamed6Miongoni mwa Askari wa KMKM waliohudhuria katika sherehe za Jeshi hilo kwa ushindi wa timu zake kushinda michezo mbali mbali katika kipindi cha mwaka 2013-2014 mpaka 2014/2015 katika viwanja vya maisara Mjini Unguja mgeni rasmi akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein jana,[Picha na Ikulu.]unnamed7Mkuu wa KMKM Komodore Hassan Mussa akizungumza machache na kumkaaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein azungumze na wapiganaji katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika jana viwanja vya maisara Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]unnamed8 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na wapiganaji wa jeshi la KMKM katika sherehe za ushindi wa timu zake katika michezo mbali mbali kwa misimu miwili zilizofanyika jana viwanja vya maisara Mjini Zanzibar (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara maaalum za SMZ Haji Omar Kheri  ,[Picha na Ikulu.]

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...