Tuesday, November 04, 2014

KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA KUPOKEA MAONI YA WADAU KUHUSU SERA YA TAIFA YA JESHI LA MAGEREZA KATIKA HOTELI YA LIVINGSTONE – BAGAMOYO

unnamed4Wadau wakifuatilia kwa makini maelezo ya Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja(hayupo pichani) katika Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.unnamed6Mshauri Mwelekezi, Dkt. Haji Semboja toka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam aliyeshiriki kikamilifu kuandaa Rasmu ya Sera ya Taifa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Wataalam wa Jeshi la Magereza akiwasilisha rasimu hiyo leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo kabla ya kuanza majadiliano.unnamed7Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(kulia) akifanya mahojiano Maalum na Waandishi wa Habari kutoka Vyombo vya ITV na Channel Ten leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.unnamed8 Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(wa pili kulia) akiteta jambo na Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(kulia) baada ya Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.unnamed9Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza(kulia) akimuongoza  Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawakil(kushoto) alipowasili kwenye Ufunguzi wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza.
unnamed10Inspeketa Jenerali Mstaafu wa Jeshi la Polisi, Said Mwema(wa kwanza kushoto) akifuatilia kwa Makini Majadiliano ya maoni kuhusu  maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo. Wengine kulia ni Viongozi Wastafu wa Jeshio la Magereza.unnamed11Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Bw. Mbarak Abdulawaki(katikati) akiwa katika piicha ya pamoja na Washiriki Wadau wa Mkutano wa kupokea maoni ya Wadau kuhusu Sera ya Taifa ya Jeshi la Magereza ulioanza leo Novemba 04, 2014 katika Hoteli ya Livingstone – Bagamoyo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...