Naibu Waziri wa Fedha, Adam Kighoma Malima akifungua
kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mapato wa Ofisi ya Rais, Usimamizi na Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Lawrence Mafuru ambao ndio wandaaji wa kongamano hilo akizungumza kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, kongamano hilo limelenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Uchukuzi, Dk. Shaban Mwinjaka, Naibu Waziri wa Fedha, Adam Kighoma Malima na Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe wakifuatilia mada katika kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Kighoma Malima na Waziri wa Uchukuzi Dk Harrison Mwakyembe wakifuatilia mada katika kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji (TIC) Bi Julieth Kairuki akitoa mada kwenye kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Mtendaji Mkuu wa Investment Capital Group (ICG), Shose Sinare na baadhi ya washiriki wengine waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Mkurugenzi wa Ukusanyaji Mapato wa Ofisi ya Rais, Usimamizi na Utekelezaji wa Miradi (PDB), Bw. Lawrence Mafuru na washiriki wengine waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Naibu Waziri wa Fedha, Adam Kighoma Malima akizungumza na waandishi wa habari, wakati wa kongamano hilo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza na waandishi wa habari kwenye kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Baadhi ya washiriki waliokuwapo katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Maafisa NHC Clara Lumbanga, Fatima Rajabu na Bulla Boma wakifuatilia mada katika kongamano hilo la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Kyando Mchechu akitoa mada kwenye kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Mkurugenzi Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akifuatilia kwa makini kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Maafisa wa NHC nje ya kongamano la uwekezaji lililoandaliwa na Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (Big Results Now) na kufanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Nyerere (JNICC) leo, lililolenga kukuza na kuvutia uwekezaji kutoka kwa makampuni na taasisi mbalimbali kubwa za kimataifa katika sekta za Uendelezaji Miliki, Kilimo na Usafirishaji.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwa katika majadiliano ya kina na baadhi ya washirikia walioonyesha nia ya kuwekeza katika miradi ya NHC.
Afisa Uendelezaji Biashara NHC, Fatima Adadi Rajabu akijadiliana jambo na Mtendaji Mkuu wa Investment Capital Group (ICG), Shose Sinare
Mkurugenzi Mkurugenzi wa Uendelezaji Biashara wa NHC, David Shambwe akijadiliana jambo mmoja wa washiriki wa kongamano hilo
Meneja waUendelezaji Biashara wa NHC, William Genya akijadiliana jambo na washiriki wa kongamano hilo
No comments:
Post a Comment