Wednesday, November 26, 2014

Tanzania yatiliana saini makubaliano na Hospitali ya Iran ya Dubai punguzo la matibabu asilimia 40

Mheshimiwa Omar Mjenga, Balozi Mdogo wa Tanzania- Dubai na Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Iran ya Dubai, Dk. Asghar Fashad. wametia saini hati za makubaliano kati ya hospitali yake na Ubalozi Mdogo kwa ajili ya kutoa huduma za afya kwa Watanzania kwa gharama nafuu ukilinganisha na gharama zake za sasa. Baada ya mazungumzo na mashauriano ya muda  Uongozi wa Juu wa Hospitali, ulikubali ombi la Mhe. Mjenga la kupunguza gharama za matibabu kwa Watanzania kwa asilimia 40 (40%). Punguzo hili litakuwa kwa Mtanzania yeyote yule atakayetibiwa katika hospitali hiyo.

 Mhe. Omar Mjenga akiwa akitiliana saini na mwenyeji wake Dk. Asghar Fashad.

Mpango wa huu utajumuisha Watanzania wote waishio UAE na wale wanaoishi nje ya UAE ikiwa ni pamoja na wale wanaoishi Tanzania. Hospital ya Irani ni moja ya hospitali zenye huduma za hali ya juu kwa Dubai na UAE kwa ujumla.

Uongozi wa Hospitali umekubali kuanza kutoa Vitambulisho Maalum kwa ajili ya Watanzania wote waishio katika ukanda huo.

Aidha, Mhe. Mjenga, alimuomba Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali hiyo, kuangalia uwezekano wa kujenga Hospitali kubwa yenye hadhi kama hiyo, nchini Tanzania. 

Kimsingi, Mkurugenzi Mkuu amekubali ombi hili, na ameahidi kumuomba Rais wa Red Crescent ya Iran na Waziri wa Afya wa nchi hiyo kukutana na mwenziwe wa Tanzania kuanza mazungumzo ya ushirikiano huo.

 Ameeleza kuwa Tanzania na Iran na nchi marafiki wa siku nyingi, na hivyo Iran inafarijika sana kuwa karibu na Tanzania kimahusiano. Shirika la Red Crescent ndilo linalomiliki hospitali hizo 

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...