Mtoto Nuru kabla yakufikwa na umauti pichani alipo kuwa na miaka 3.Mtoto huyo anadaiwa kunyongwa Alhamisi iliyopita na kuzikwa katika Makaburi ya Majohe kwa Muslim (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA BILALI) Mmiliki wa Blog ya UJIJIRAHAA.
Hii ni Mipira ya kuvaa mikononi iliyotumika kuubeba Mwili huo.
Mama wa marehemu Nuru Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally. akiwa amelala kutokana na kuishiwa nguvu mwilini kwa kufikwa na tukio hilo. wakati akiongea na mwandishi wa habari.
Mama wa marehemu Nuru Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally (wakwanza kushoto). akiongea kwa shida na mwandishi wa habari, Nyumbani kwa Mama huyo Dar es Salaa eneo la Majohe.
Familia ya mtoto Nuru Mohamed (7) pichani juu, wakitoka nje baada ya kumuonyesha mpiga picha wa Gazeti la sehemu iliyopo ndani ya pagala alipouawa mtoto huyo kwa kuwekewa matofari juu ya mtu asiyejulikana Alhamisi jioni eneo la Majohe Kichangani, Ukonga, Dar es Salaam.
Pagala la Nyumba hilo lipo barabarani.
No comments:
Post a Comment