Sunday, November 02, 2014

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Kidata atembelea mradi wa nyumba za gharama nafuu NHC Mkinga


Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata akisikiliza maelezo ya Meneja wa miradi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Gugadi huku Kaimu Mwenyekiti wa  Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi akisikiliza, kulia kabisa ni Meneja wa NHC Mkoa wa Kagera, Ng'aranga Magai. Katibu Mkuu Kidata alitembelea mradi huo leo hii ili kuweza kufahamu utendaji wa NHC katika miradi ya nyumba ya gharama nafuu, jana alifungua kikao cha Baraza Kuu la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata akisikiliza maelezo ya Meneja wa miradi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Gugadi huku Kaimu Mwenyekiti wa  Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi akisikiliza, kulia kabisa ni Meneja wa NHC Mkoa wa Kagera, Ng'aranga Magai.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata akifutilia maelezo ya Kaimu Mwenyekiti wa  Baraza la Wafanyakazi wa Shirika la Nyumba la Taifa na Mkurugenzi wa Fedha, Felix Maagi katikati yao ni Meneja wa NHC Mkoa wa Upanga, Nathaniel Malisa
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Alphayo Japan Kidata akisikiliza maelezo ya Mkurugenzi wa Uendeshaji na Utawala wa Mikoa wa Shirika la Nyumba la Taifa, Raymond Mndolwa, kushoto ni Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi
Baadhi ya nyumba zilizokamilika zinavyoonekana

Sabina Kilato wa NHC Kigoma akijadiliana jambo na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii, Susan Omari na Margareth Ezekiel, Kaimu Mkuu wa Mkadiriaji Majengo wa NHC wakati wa ziara hiyo iliyowashirikisha Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi, Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Baadhi ya Wajumbe waliokuwapo katika ziara hiyo
Baadhi ya nyumba zilizokamilika zinavyoonekana.
Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akijadiliana jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Tanga, Isaya Mshamba na Meneja wa Rasilimali watu wa NHC, Omari Makalamangi wakati wa ziara hiyo iliyowashirikisha Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi, Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa.
Kaimu Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki wa NHC, Haikamen Mlekio akijadiliana jambo na Meneja wa NHC mkoa wa Tanga, Isaya Mshamba na Meneja wa Rasilimali watu wa NHC, Omari Makalamangi wakati wa ziara hiyo iliyowashirikisha Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi, Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa. Kulia ni Mkurugenzi wa Usimamizi wa Miliki, Hamad Abdallah.

Meneja wa miradi wa Shirika la Nyumba la Taifa, Subira Gugadi akijadiliana jambo na Mkurugenzi wa Ubunifu, Issack Peter. Katikati ni Mohammed Mneka, Katibu wa TAMICO NHC.

Baadhi ya Wajumbe wa Baraza Kuu la Wafanyakazi, Mameneja na Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa waliofika katika ziara hiyo.
Baadhi ya nyumba zilizokamilika zinavyoonekana.

Baadhi ya nyumba zilizokamilika zinavyoonekana.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...