Wednesday, November 12, 2014

SHEREHE ZA UZINDUZI WA STUDIO ZA KITUO KIPYA CHA UTANGAZAJI GHETTO RADIO TANZANIA ZAFANA

 Meneja wa Ghetto Radio ya Sibuka FM  94.5 Bw. Edward Rukaka  aliyeshika Mkasi ,akiizindua Rasmi Studio hiyo na kuitambulisha kwa wadau. kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati nasibu Tanzania Bw. Abbas Tarimba akishuhudia uzinduzi huo
.
 Mkurugenzi wa Ghetto Radio Kenya Bw. Majimaji akizungumza wakati wa usiku wa kuzindua Rasmi Studio ya Kurushia matangazo ya Radio ya Ghetto Radio ya Sibuka FM Nchini Tanzania hivi karibuni
 Mkurugenzi wa Sibuka George Nangali kulia akiwa na
Mkurugenzi wa Ghetto Radio Matt Brouwer  wakati wa Sherehe Fupi za  uzinduzi wa Studio hiyo iliyopo mtaa wa Hananasifu Kinondoni.
Katikati ni Balozi wa Ghetto Radio ya Sibuka FM Msanii mkongwe wa Muziki wa Bongo Fleva Juma Nature wakati wa uzinduzi huo

Mkurugenzi wa kituo cha afya cha Iran Nchini Tanzania Dkt. Farhad Arjomandi akisikiliza kwa makini maelezo kutoka kwa Mtangazaji maarufu wa  Ghetto Radio ya Sibuka FM Basil Jonas Juu ya Studio hiyo
Dj Bling Kutoka Ghetto Radio ya Kenya akielezea uzoefu wake katika … Ku mix Mix  Ngoma mbalimbali ambazo zinagusa kila rika la wasikilizaji..
 Wadau mbalimbali wakiwa katika Sherehe hiyo ya Uzinduzi wa Studio za Ghetto Radio ya sibuka Fm.
 Kulia ni Bw. Kelvin Guninita mfanyakazi wa Sibuka Media akiwa katika sherehe hizo za uzinduzi  wa studio za Ghetto Radio ya  Sibuka Fm.
Meneja wa Ghetto radio Tanzania Bwana Edward Rukaka akiwaonesha wageni waalikwa sehemu mbalimbali za studio hiyo
Wadau mbalimbali wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kituo hicho cha Radio Bw. Edward Rukaka jinsi shughuli zinavyofanyika ndani ya studio hizo za Ghetto Radio.
 Mwenyekiti wa Bodi ya Bahati Nasibu ya Taifa Bwana Abbas Tarimba akimsikiliza kwa makini Meneja wa Ghetto Radio Tanzania Bw. Rukaka
 Wakurugenzi wa Key Media nao walihudhuria sherehe hizo za uzinduzi wa studio ya Ghetto Radio Tanzania.
 Katika picha ya pamoja ni Balozi wa Ghetto radio Tanzania msanii wa mziki wa Bongo Fleva Juma Nature na Violeth Okina wa kwanza  kulia ambaye ni Meneja Mauzo wa Ghetto Radio Tanzania katika sherehe hizo.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...