Thursday, November 13, 2014

WADAU WA SEKTA YA USAFIRI WA ANGA WAKUTANA KUJADILI MAENDELEO YA SEKTA HIYO NCHINI.

1Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA)Charles M.  Chacha (Kushoto), akiteta jambo na mmiliki wa kampuni ya Tran World ya nchini Dubai  Mr. Adil Jadid kulia) wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini .  Mkutano ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mjumbe wa Bodi wa TCAA Yussuf Mohammed Aly.2Baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania wakifuatilia mada wakati  wa mkutano wa wadau wa sekta hiyo uliotoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam leo.34Mkurugenzi wa Idara ya Udhibiti masuala ya Ki- Uchumi, Mamlaka ya Usafiri wa Anga(TCAA), Dkt. James Diu  (wapilia kutoka kulia) akitoa mada wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini, ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam .Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Udhibiti masuala ya ki-usalama TCAA, Bw. Jude Mkai.5Baadhi ya wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania wakifuatilia mada wakati  wa mkutano wa wadau wa sekta hiyo uliotoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam leo.6Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka yaUsafiri wa Anga(TCAA), Bw. Charles M. Chacha(aliyeshika maiki), akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wadau wa sekta ya usafiri wa anga Tanzania. Mkutano huo unatoa   fursa za kujadili maendeleo ya sekta hiyo nchini Ulifanyika makao makuu ya Mamlaka ya usafiri wa Anga jijini Dar es Salaam

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...