Friday, November 14, 2014

UFUNGAJI WA SEMINA YA WAKUU WA MIKOA NA WILAYA BARA NA VISIWANI

1Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakiwa katika ugungaji wa semina yao ya siku taku iliyozungumzia Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania bara iliyofungwa jana na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katika Ukumbi wa Sea Cliff  Kama nje ya Mji wa Unguja,(Na Mpiga Picha Maalum)2Baadhi ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kuhusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania bara ufungaji huo ilifanyika  jana Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja,(Na Mpiga Picha Maalum)3Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara  iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji  katika  Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja,(Na Mpiga Picha Maalum)4Wakuu wa Wilaya za Unguja na Pemba wakimsikiliza Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara  iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji  katika  Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja jana,(Na Mpiga Picha Maalum)6Picha ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Barabaada ya kufungwa na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katikat, (Na Mpiga Picha Maalum)8Picha ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa Maafisa Tawala Mikoa na Wilaya za Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania Bara  baada ya kufungwa na Waziri wa Nchi  Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara  Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katikati, (Na Mpiga Picha Maalum)

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...