Wednesday, November 05, 2014

KATIBU MKUU, WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI – ALPHAYO J. KIDATA AFANYA ZIARA MKOANI TANGA

unnamedKatibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani Tanga
unnamed1Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata katika picha ya pamoja, akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, Mipango na Watathimini baada ya kusikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed2Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akisikiliza matatizo na migogoro mbalimbali ya ardhi kutoka kwa Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed3Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akifuatilia kwa karibu baadhi ya nakala na ramani za maeneo yenye Migogoro, hivi karibuni mkoani Tangaunnamed4Mwananchi aliyepatiwa suluhu la tatizo la ardhi, akimshukuru Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata baada tu ya kumaliza Mkutano na Maafisa ardhi, Maafisa Mipango na Watathimini, hivi karibuni mkoani Tanga.
unnamed5Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata hivi karibuni, akifuatilia historia ya eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tangaunnamed6Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata akiwa na baadhi ya Maafisa ardhi, hivi karibuni walipotembelea na kusikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga
unnamed7Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi – Alphayo J. Kidata, hivi karibuni akisikiliza tatizo la eneo lenye mgogoro baina ya familia mbili, Barabara ya tatu – jijini Tanga

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...