Thursday, November 13, 2014

TAASISI YA STARKEY HEARING FOUNDATION YAKABIDHI MADARASA MATATU SHULE YA MSINGI YA LOIBORSOIT

1Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. David na Steven
23Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin akipima sikio kwa mmoja wa watoto waliohudhuria kliniki iliyokwenda sambamba na ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara.
4Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na Mbunge wa Simanjiro, Christopher Ole Sendeka wakifunua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara.
5Mwanzilishi wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation, Bill Austin pamoja na mkewe, Tani wakipokelewa na wana kikiji wa Loiborsoit kwenye ufunguzi rasmi wa majengo matatu ya shule ya Msingi ya Loiborsoit yaliyojengwa na mwanzilishi huyo kwa ajili ya jamii ya Kimasai katika sherehe zilizofanyika eneo hilo wilayani Simanjiro mkoa wa Manyara. Kulia ni David Furnish mmoja wa wageni maarufu aliyehudhuria hafla hiyo.Yohana shinini
7Wanafunzi wa darasa la kwanza wa Shule ya Msingi Loborsoit iliyopo Simanjiro wakiwa darasani huku timu ya Taasisi ya Starkey Hearing Foundation wakiwa nyuma yao wakati wa kukabidhiwa majengo hayo katika sherehe iliyofanyika Wilayani Simanjiro.
911a
unnamed1Wakiwa katika picha ya pamoja unnamed2Wakurugenzi wa Kampuni ya Montage Nesto Mapunda na Teddy Mapunda wakiwa katika picha ya pamoja unnamed3Mkurugenzi wa Kampuni ya Montage Teddy Mapunda akishuka kwenye helkopeta iliyowachukua wakuu wa taasisi ya Starkey Hearing Foundation

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...