Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa hilo jijini Dar es salaama Novemba 2, 2014 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Frederick Msagala CD ya kwaya ya Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kuinunua kwa sh. 700,000 katika uzinduzi wa Halambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa iliyo mjini Dar es slaam Novemva 2, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na watoto baada ya kuzindua harambee ya ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam Novembe 2, 2014. Kulia Kwake ni Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es salaam, Titus Mdoe na kushoto kwake ni Askofu Charles Salala wa Kanisa la Afrikani Inland Church. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment