Meneja wa NHC Mkoa wa Tabora, Erasto Chilambo akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Isikizya zilizopo wilayani Uyui mkoani Tabora kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Meneja wa NHC Mkoa wa Dodoma, Itandula Gambalagi akiwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mradi wa nyumba za gharama nafuu za NHC Mnyakongo, Kongwa Dodoma kwenye semina ya mameneja na wakurugenzi wa NHC inayoendelea katika Hoteli ya Tanga Beach Resort.
Meneja Mshauri Taasisi inayojishughulisha na mambo ya uchumi ya Deloitte Bw.
Wataalamu washauri wa semina hiyo wakiwa pamoja na Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu, James Rhombo na Mkurugenzi wa Uendelezaji Miliki Benedict Kilimba wakifuatilia semina hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Huduma kwa Jamii Susan Omari akifuatilia kwa kina soma hilo la Delloite Touche.
Julius Ntoga wa Shirika la Nyumba la Taifa, William Genya, Joseph Mwanasenga, Ramadhani Macha, Elias Msese, Pauline Mrango , Hamad Abdallah na Ladislaus Bamanyisa wakifuatilia kwa kina somo lililokuwa likitolewa na Wataalamu Washauri wa Delloite Touche.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akisisitiza jambo katika semina hiyo.
Humphrey Kishimbo, Meneja wa NHC, Iringa, George Magembe, Meneja Miradi wa NHC na Mektilda Mihayo, Meneja wa Mahusiano kwa Wateja wakifuatilia somo katika semina hiyo.
Washiriki wakifuatilia mada iliyotolewa na Wataalamu wa Afrika Kusini kutoka kampuni ya Hydraform.
Wataalamu wa Afrika Kusini kutoka kampuni ya Hydraform.wakiwa na mdau kutoka Hydraform Tanzania wakifuatilia semina hiyo
No comments:
Post a Comment