Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka (wa pili kushoto), akiwa na
Daktari bingwa wa ugonjwa ya Saratani ya matiti kutoka Bangarole India, Profesa Anthony Pais (kushoto), kabla ya kufanya naye mazungumzo naye nyumbani kwake wilayani Muleba, Septemba 2, 2014 ya mchakato wa ujenzi wa kituo cha kuchunguza ugonjwa wa saratani ya matiti. Wengine kutoka kulia ni Dk.Fred Limbanga, Wakili Respicius Didace na Mshauri wa Kimataifa wa Kujitemea, James Rugemalira aliyemleta Profesa Pais hapa nchini kwa mualiko maalumu.
Profesa Pais (kulia), akizungumza na Waziri Tibaijuka. Kushoto ni James Rugemalira.(Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com)
No comments:
Post a Comment