Mhandisi Anifa Chingumbe na Janeth Mwaimu wakimuelezea mmoja wa wateja waliotembelea banda la TTCL kuhusu ubora wa huduma na bidhaa zitolewazo na kampuni hiyo.Eric Muganga akimuonesha mteja namna ya kutumia intanet ya TTCLWaziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli akifurahi pamoja na wafanyakazi wa TTCL baada ya kupata maelezo kuhusu huduma zitolewazo na kampuni hiyo ikiwemo usimamizi wa mkongo wa Taifa wa Mawasiliano.Waziri wa Ujenzi Mhe. John Pombe Magufuli akisaini kitabu cha wageni, anayeshuhudia ni Afisa Uhusiano wa Kampuni hiyo Bi. Amanda Luhanga.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Aongoza Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Jijini Dodoma
Dodoma, 18 Januari 2025 – Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameo...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment