Sam Mapenzi, Joniko Flower na Hashim Donode wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band kwenye Nyama Choma Festival iliyofanyika miwshoni mwa juma katika viwanja vya michezo vya chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Mashabiki wakiwa wameshona kwenye viwanja vya michezo vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam katika Nyama Choma Festival huku Skylight Band wakitoa burudani ya aina yake.
Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani sambamba na Digna Mbepera kwa mashabiki wa muziki wa Live Band kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika mwishoni mwa juma katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam UDSM.
Pale Aneth Kushaba AK47 (hayupo pichani) anapogusa mashabiki na uimbaji wake.
Ni hisia tu hakuna kingine….Skylight Band ni balaa.!
Aneth Kushaba AK47 akishambulia jukwaa kwenye tamasha la Nyama Choma lililofanyika mwishoni mwa juma kwenye viwanja vya michezo vya Chuo kikuu cha Dar es Salaam.
Nyomi la kufa mtu… hapa chezea Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa.
No comments:
Post a Comment