Thursday, September 04, 2014

Shirika la Nyumba la Taifa lakabidhi mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana Arusha



 
Mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyirembe Munasa, Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi.Rachel Kassanda  wakiwa tayari kutoa hundi kwa mmoja wa kiongozi wa vikundi vya vijana baada ya kupokea hundi.
 Kiongozi wa mbio za mwenge Rachel Kassanda akikagua matofali na nyuma yake ni mkuu wa wilaya ya Arumeru Nyerembe Munasa.
 Maafisa toka NHC Amoni Mazanda na Gibson Mwaigomole wakiangalia baadhi ya mambo yaliyoratibiwa na wenyeji wao H ya Meru
 Maafisa wa shirika wa mauzo na miliki Amoni Mazanda wakiwa na maafisa maendeleo wa Halmashauri ya wilaya ya Arusha Mwatumu Dossi na wa Halamashauri ya Meru Bwana Mrema

 Jiwe la Msingi
 Nyumba za gharama nafuu zilizopo Longido kama zinavyoonekana pichani

 Wageni wakiwasili eneo la nyumba za Shirika la Nyumba la Taifa Longido
Mbunge wa Longido Lekule Laizer akiwa na Mkuu wa wilaya ya Longido James Olle Millya wakiangalia jiwe la msingi la mradi wa nyumba za gharama nafuu Longido.
Maelezo kwa kiongozi wa mbio za mwenge kitaifa wakati wa makabidhiano ya mashine za kufyatulia matofali ya kufungamana
Wanavikundi pamoja na maafisa wa Shirika la Nyumba la Taifa Arusha na wageni wengine waalikwa wakisubiri kuwasili kwa mgeni rasmi
 Vijana wakipokea hundi kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi.Rachel Kassanda
 Vijana wakipokea hundi kutoka kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge kitaifa Bi.Rachel Kassanda

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...