Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Kyando Mchechu wa kwanza kulia mbele akitembelea eneo la ujenzi wa nyumba za gharama nafuu zitakazojengwa katika Halmashauri ya Busekelo Mkoani Mbeya alipotembelea Halmashauri hiyo Septemba 3 mwaka huu .Picha na Saguya wa NHC.
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Mchechu akielezea mpango wa shirika wa kujenga nyumba za watumishi wa Halmashauri ya Busekelo alipotembelea Halmashauri hiyo jana .Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Bw. Meshack Mwakipunga na kulia kwa Mkurugenzi Mkuu wa NHC ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya Busekelo Bw Saidi Mderu .
|
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Busokelo Bw,Meshack Mwakipunga akiutembeza ujembe wa shirika la Nyumba la Taifa kwenye eneo la viwanja vitakavyojengwa nyumba na NHC hivi karibuni.
|
Ujumbe wa NHC na Halmashauri ya Busokelo ukiendelea kutambua viwanja vitakavyojengwa Nyumba na NHC hivi karibuni
|
Mkurugenzi Mkuu wa NHC Bw.Nehemia Mchechu akitoa maelezo ya kuridhia eneo walilopewa na Halmashauri ya Busekelo ili kujenga nyumba hivi karibuni.
|
No comments:
Post a Comment