Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Dk Rehema Nchimbi (wa kwanza kushoto) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma,
Christopher Kangoye. (Picha zote kwa hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa)
.
Rais Jakaya Kikwete akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa mradi wa
nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wengine wanaoshuhudia ni
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Nehemia Mchechu, Mwenyekiti wa
Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji.
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni wakati wa ufunguzi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wengine wanaoshuhudia ni Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa NHC, Nehemia Mchechu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene .
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma wenye nyumba 150, kushoto kwake ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene. Waziri wa Maji, Profesa Jumanne Maghembe na Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Christopher Kangoye.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akizungumza kwenye hafla hiyo.
Majengo ya Nyumba za Makazi za Medeli Mjini Dodoma kama yanavyoonekana
pichani.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi
wa NHC, Zakhia Meghji huku Mkuu wa
Wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Christopher Kangoye na Naibu Waziri wa Ardhi ,
Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene wakishuhudia wakati wa ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za
makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma. Mradi una jumla ya nyumba 150. (Picha zote kwa hisani ya Shirika la Nyumba la Taifa)
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana
jambo na Mbunge wa viti Maalumu, Mary Mwanjelwa na Mwenyekiti wa Kamati ya
Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli wakati wa ufunguzi
rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akijadiliana
jambo na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya Makazi, George
Simbachawene na Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendelezaji
Miliki Benedict Kilimba kabla ya ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za
Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Katibu wa Chama cha Wafanyakazi TAMICO, Mohammed
Mneka kabla ya ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo
Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi wa Uendeshaji na Usimamizi wa mikoa wa NHC, Raymond Mndolwa wakati wa ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Meneja wa NHC katika Ofisi ya Mkurugenzi Mkuu, Bulla Boma wakati wa ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Watendaji wa Shirika la
Nyumba la Taifa (NHC) mara baada ya ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi
za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na na
baadhi ya wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambao mara baada ya ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba
za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma
Kikundi cha burudani ya ngoma kikiendelea kuburudisha wakati wa
ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum Martha
Mlatta kabla ya ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za makazi za Medeli zilizopo
Mjini Dodoma. Nyuma yake ni Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na Maendeleo ya
Makazi, George Simbachawene.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika
la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu kabla ya ufunguzi rasmi wa mradi wa
nyumba za makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma. Wanaoshuhudia tukio hilo ni
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa NHC, Zakhia Meghji na Mwenyekiti wa Kamati
ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira, James Lembeli.
Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi , Nyumba na
Maendeleo ya Makazi, George Simbachawene wakati wa ufunguzi rasmi wa mradi wa nyumba za
makazi za Medeli zilizopo Mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment