Wednesday, September 03, 2025

Umati Wamiminika Kumsikiliza Dkt. Samia Songwe πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸŽ‰








Umati mkubwa wa wananchi wa Momba, Tunduma – Mkoa wa Songwe umefurika leo, Septemba 03, 2025, kushiriki kwenye mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Shangwe na nderemo zilipamba hewani huku wananchi wakionesha mshikamano na hamasa kubwa ya kumuunga mkono Dkt. Samia katika safari ya kuelekea Uchaguzi Mkuu.

πŸ“² Fuatilia matukio zaidi ya kampeni kupitia mitandao yetu ya kijamii:
πŸ‘‰ Instagram: @mamakajatz
πŸ‘‰ Twitter: @mamakajatz
πŸ‘‰ Facebook: Mamakajatz
πŸ‘‰ YouTube: Mama Kaja TZ

#Mamakaja #KaziIendelee #Samia2025 #Songwe

No comments:

KAMISHNA KUJI ATOA WITO TANAPA KUWA NA SACCOS MOJA

Na Edmund Salaho - Tanga Kamishna wa Uhifadhi TANAPA, CPA Musa Nassoro Kuji ambaye pia ni mlezi wa HIFADHI SACCOS LTD ametoa wito kwa watumi...