Friday, September 26, 2025

MAJALIWA AONGOZA MAZISHI YA ABBAS MWINYI








WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa leo Septemba 26, 2025 ameshiriki katika maziko ya Abbas Ali Mwinyi ambaye ni kaka wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi yaliyofanyika Mangapwani, Zanzibar

No comments:

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Rugambwa wapokelewa Bukoba

Mwili wa Hayati Askofu Mkuu Novatus Rugambwa, aliyefariki hivi karibuni, uliwasili leo katika Kanisa Kuu la Bikira Maria wa Huruma, Jimbo Ka...