Thursday, January 09, 2025

WAZIRI MKUU ASHIRIKI MAZISHI YA MWENYEKITI WA ZAMANI WA CCM LIWALE

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale,  Marehemu Kindamba Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya  Nanganda Liwale, Lindi Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Vijana wa CCM wakiwa wamebeba mwili wa  Mwenyekiti wa CCM wa  zamani wa wilaya  ya Liwale, marehemu Kindamba Milingo katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya  Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Mjumbe wa Kamati Kuui ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alishiriki katika mazishi hayo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwenyekiti wa zamani wa CCM Wilaya ya Liwale,  Marehemu Kindamba Milingo alipowasili nyumbani kwa marehemu, Kindamba  Milingo kushiriki katika mazishi yaliyofanyika kwenye makaburi ya Nanganda Liwale Mkoa wa Lindi Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Lindi Hassan Jarufu (wa pili kushoto) pamoja na waombolezaji  wakishiriki katika mazishi ya Mwenyekiti wa zamani wa CCM wilaya ya Liwale yaliyofanyika katika makaburi ya  Nanganda Liwale mkoa wa Lindi, Januari 8, 2025. Kulia ni Mtoto wa marehemu, Habibu Kindamba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza katika mazishi ya Mwenyekiti wa  zamani wa CCM wilaya ya Liwale, marehmu  Kindamba  Milingo yaliyofanyika katika makaburi ya Nanganda Liwale, Januari 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

LIPUMBA AWAPA NENO WAJUMBE MKUTANO MKUU CUF

  Na Mwandishi Wetu  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaelekeza wajumbe wa Baraza Kuu la chama hic...