Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Mmoja wa Maofisa kutoka Ubalozi wa Norway nchini Tanzania kushoto akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye wakati wa wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. (Picha na Benjamin Sawe-WHUSM).
No comments:
Post a Comment