Saturday, January 16, 2016

UNESCO YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA SEKTA ZA HABARI NA UTAMADUNI

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues alipomtembelea ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.
BB3
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
BB1
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kulia) alipomtembelea ofisini kwake  jijini Dar es Salaam.
BB4
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mkazi wa UNESCO Bibi. Zulmira Rodrigues (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake leo jijini Dar es Salaam. Wengine ni Afisa Habari wa UNESCO Bi. Nancy Kaizirege (mwenye nguo ya dhambarau).
PICHA NA FRANK SHIJA, WHUSM

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...