Wednesday, January 13, 2016

DK. JAKAYA KIKWETE AMFARIJI MAMA MARIA NYERERE

JK1
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.
JK2
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Maria Nyerere  nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.
JK3
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakimfariji Mama Maria Nyerere nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.
JK5
Rais Mstaafu Dk. Jakaya Kikwete akiagana na wanafamilia mara baada ya kuhani msiba nyumbani kwa Baba wa Taifa Msasani wakati alipokwenda kuhani msiba wa mwanafamilia Marehemu Leticia Nyerere aliyefaiki huko Marekani hivi karibuni.

No comments:

MKUTANO WA CATA UANGAZIE MIJADALA YA KUHAMASISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA KATIKA UKUSANYAJI MAPATO - MAKAMO WA RAIS

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Deogratius Ndejembi amesema matumizi ya mifumo ya kisasa ya teknolojia ni chachu kati...