Marehemu Baha Nkhangaa enzi za uhai wake aliyekuwa akifanya kazi kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, ambaye kifo chake kilitokea Jamamosi ya Januari 23, 2016 kwenye Hospitali ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Waombolezaji mbalimbali waliofika katika shughuli ya kuuaga mwili wa Marehemu Baha Nkhangaa aliyekuwa akifanya kazi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, ambaye kifo chake kilitokea Jamamosi ya Januari 23, 2016 kwenye Hospitali ya Sumbawanga mkoani Rukwa.Waombolezaji mbalimbali wakiwa wameubeba mwili wa Marehemu Baha Nkhangaa aliyekuwa akifanya kazi kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, ambaye kifo chake kilitokea Jamamosi ya Januari 23, 2016 kwenye Hospitali ya Sumbawanga mkoani Rukwa.
Mwili wa Marehemu Baha Nkhangaa aliyekuwa akifanya kazi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, ukiwa umewekwa kwenye nyumba yake ya milele kijijini Kibaoni wilayani Mlele Mkoa wa Katavi.
Baadhi ya Waombolezaji wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Baha Nkhangaa aliyekuwa akifanya kazi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, kijijini Kibaoni wilayani Mlele Mkoa wa Katavi.
Baadhi ya Waombolezaji wakiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Baha Nkhangaa aliyekuwa akifanya kazi Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kama Mkusanya Kodi mkoa wa Kagera, kijijini Kibaoni wilayani Mlele Mkoa wa Katavi.
Maziko yalifanyika Kibaoni wilayani Mlele Mkoa wa Katavi Tareha 26/01/2016, baada ya safari ya kwenda Singida kushindikana kutokana na Changamoto iliyotokana na ubovu wa barabara kati ya katavi na Tabora
No comments:
Post a Comment