Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa , bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) akimwapisha Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt.Philip Mpango, bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Dkt. Abdallah Possi akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Jenista Mhagama akijibu swali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wabunge wakisikiliza hoja mbalimbali bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya Mawaziri wa wizara mbalimbali wakisikiliza maswali na majibu Bengeni leo.
Profesa Sospeter Muhongo Waziri wa Nishati na Madini kulia na Dk Philip Mpango Waziri wa Fedha na Mipango wakifuatilia mambo mbalimbali yaliyokuwa yakiendelea bungeni leo.
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Ajira na Walemavu, Anthony Mavunde akijibu maswali Bungeni Mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula akijibu maswali Bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitoa hoja ya kutaka Bunge lijadili Hotuba ya Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli aliyoitoa wakati alipofungua Bunge la Kumi na Moja Novemba 20, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mbunge wa Mvomero, Murad Sadiq akichangia bungeni mjini Dodoma Januari 26, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment