Wednesday, January 27, 2016

VODACOM FOUNDATION YAWAKUMBUKA WATOTO WA SHULE YA MAADILISHO YA IRAMBO MKOA WA MBEYA


 Mkuu wa Kituo cha shule ya maadilisho kinacholea watoto waliokinzana na sheria cha Irambo Mkoa wa Mbeya,Bwire Masenena(kushoto) akipokea msaada wa vifaa vya shule Viatu,Madaftari na vifaa vya michezo,Luninga pamoja na vyakula mbalimbali kwa niaba ya watoto wa chuo hicho jana toka kwa Meneja mauzo kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Sagenge.Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 12/- uliotolewa na Vodacom Foundation kupitia taasisi ya Doris Mollel.

 Meneja mauzo kanda ya Nyasa wa Vodacom Tanzania, Emmanuel Sagenge(kushoto)akimkabidhi Luninga Mkuu wa Kituo cha shule ya maadilisho kinacholea watoto waliokinzana na sheria cha Irambo Mkoa wa Mbeya,Bwire Masenena(kulia) wakati wa hafla fupi jana ya kupokea msaada wa vifaa vya shule Viatu,Madaftari na vifaa vya michezo pamoja na vyakula kwa niaba ya watoto wa chuo hicho, Msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi Milioni 12/- uliotolewa na Vodacom Foundation kupitia taasisi ya Doris Mollel.

No comments:

RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AANDAA IFTAR KWA VIONGOZI WA DINI NA WAZEE WA DAR ES SALAAM

   Dar es Salaam, 5 Machi 2025  – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameandaa futari (Iftar) maalum kwa...