Tuesday, January 12, 2016

MATEMBEZI YA UMOJA VIJANA CCM KUADHIMISHA MIAKA 52 YA MAPINDUZI YAFANYIKA ZANZIBAR

DK1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
DK2
Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM wakipita  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akipokea matembezi ya Vijana hao waliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia jana katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
DK3
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akipokea Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja (kushoto) Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis ,[Picha na Ikulu.]
DK4
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akikimkabidhi  Picha ya Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Sadifa Juma khamis baada ya kupokea picha hiyo kutoka kwa Kiongozi wa Matembezita Umoja wa Vijana wa CCM Daudi Ismail katika kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar katika viwanja vya maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
DK5
Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akimkaribisha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana Taifa kuzungumza na Vijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia jana katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,baadae kumakaribisha mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
DK6
Vijana wa Umoja wa Chama cha Mapinduzi CCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofikia kilele katika Uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja le wa kila kiapo cha kuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar  mbele ya mgeni rasmi  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,baada ya kuyapokea matembezi hayo yaliotembea katika Mikoa Minee ya Kichama,[Picha na Ikulu.]
DK7
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis akimkaribishaRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein kuzungumza naVijana walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia jana katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
DK8
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Vijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia jana katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja na kupolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
DK9
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa hutuba yake kwaVijana wa Umoja wa Vijana UVCCM walioshiriki matembezi ya kuadhimisha Miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyomalizia leo katika Viwanja vya Maisara Suleiman Mjini Unguja(kulia)Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan,na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana UVCCM Taifa Sadifa Juma Khamis(kushoto) Spika wa Baraza la Wawakilishi Pandu Ameir Kificho naKaimu Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka,{picha na Ikulu.}

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...