Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ardhi , Miundombinu, Uchukuzi, na Utalii wa Japan, Bw. Takatoshi Nishiwaki baada ya kufungua mkutano wa miradi ya ubia katika ujenzi wa Miundombinu kati ya Japan na Tanzania kwenye hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro jijini Dar es salaam Januari 14,2016. Kushoto ni Naibu Waziri wa Ujwnzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Edwin Ngonyani.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment