Wednesday, January 20, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA ISRAEL NCHINI IKULU JIJINI DAR LEO

  Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiongea na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016.
 Rais Dkt John Pombe Joseph Magufuli akipeana mikono na Balozi wa Israeli nchini Mhe Yahel Vilan  alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo January 19, 2016.

No comments:

BRELA: VIJANA RASIMISHENI VIKUNDI KUNUFAIKA NA FURSA ZA KIUCHUMI

Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) umewahimiza wanafunzi na wahitimu wa Vyuo Vikuu Nchini kuanzisha, kujiunga na kurasimisha vi...