Sunday, August 02, 2015

WAHITIMU SHULE YA MSINGI MUHIMBILI WAISAIDIA SHULE YAO

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akizungumza.

Mwenyekiti wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, Bi. Usia Nkhoma Ledama akionesha sehemu ya msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao.

Mkuu wa Shule ya Msingi Muhimbili wa sasa, Dafrossa Asenga (katikati) akizungumza kuwakaribisha wageni  katika hafla ya kukabidhiwa msaada wa viti na meza vilivyotolewa na wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988.

Mwenyekiti Msaidizi wa umoja wa wanafunzi wahitimu wa darasa la saba Shule ya Msingi Muhimbili Mwaka 1988, akitoa machache katika hafla hiyo ya kukabidhi msaada wa viti na meza na ofisi iliyokarabatiwa na umoja wao.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...