Nguzo za Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara.
Nguzo za Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua eneo kunakojengwa Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akikagua eneo kunakojengwa Nyumba za Makazi 96 za Rahaleo Mtwara.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nahemia Mchechu akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa hadhara ambao Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wakazi hao.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nahemia Mchechu akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa hadhara ambao Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wakazi hao.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nahemia Mchechu akihutubia wakazi wa Mtwara kwenye mkutano wa hadhara ambao Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wakazi hao
Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Salma Kikwete akiwapungia mkono wakazi wa Mtwara kama ishara ya kuwaaga kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutbia wakazi wa Mtwara kwenye uwanja wa Nangwanda ambapo aliwaaga wakazi hao huku akiwaambia kuwa Mtwara ndio utakuwa mji wenye uwezo wa kiuchumi Tanzania.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa Nehemia Mchechu akiwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Utawala Bora, Kapteni George Mkuchika mkutano wa hadhara ambao Rais Jakaya Kikwete aliwaaga wakazi hao.
No comments:
Post a Comment