Tuesday, August 11, 2015

ZIARA YA MKURUGENZI MKUU WA NHC MKOANI LINDI

 Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu akiwasili katika ofisi za NHC Lindi.
 Meneja wa Lindi Mussa Patrick  Kamendu akitoa taarifa ya mkoa wa Lindi kwa Mkurugenzi Mkuu. 
 Mkurugenzi Mkuu Nehemia Kyando Mchechu akiongea na wafanyakazi wa Lindi pamoja na wakurungezi alioongozana nao katika ziara hiyo pia aliwapongezza wafanyakazi kwa kazi nzuri wanayoifanya kaika mkoa huo.
 Mkurugenzi Mkuu Nehemia Kyando Mchechu akitoa ufafanuzi baada ya kuona sehemu utakaojengwa Mradi wa Mtanda phase 2.

 Mkurugenzi Mkuu Nehemia Kyando Mchechu, pamoja na timu aliyoongozana nayo wakionyeshwa ramani  ya eneo ambalo halmashauri inawashawishi wananchi walipwe fidia ndogo ili shirika liweze kujenga nyumba za gharama nafuu.
 Eneo hilo lina viwanja vitano vyenye ukubwa tofauti ,mathalan Kiwanja No.9 kitalu A kina ukubwa wa meta mraba 30,465.Ambazo ni sawa na ekari saba. Masoko Pwani Kilwa Masoko.
 Meneja wa Lindi Bw, Patrick akionyesha eneo lililonunuliwa na shirika maeneo ya Tipuli mkoani Lindi lenye ukubwa wa ekari 10.
 Katika ziara yake Mkurugenzi Mkuu alikuja kuimalizia katika kukagua matengenezo ya nyumba kwa mfano, alikagua Ukumbi wa kisasa kiwanja Na.23-25/B Mjini Lindi.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...