Monday, August 03, 2015

AZAM FC MABINGWA WA KOMBE LA KAGAME 2015

Kombe la Kagame walilotwaa Azam FC. (Picha zote na Francis Dande)
 Nahodha wa Azam John Bocco akipokea kitita cha dola za kimarekani dola elfu 30.
Viongozi wa Azam pamoja na wachezaji wakiwa katika picha ya pamoja.
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia wakiwa na Kombe lao baada ya kukabidhiwa katika mchezo wa fainali baada ya kuifunga Gor Mahia ya Kenya 2-0.
Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam ilishinda 2-0. 

Kocha Mkuu wa Azam FC, Stewart Hall akiwa amebebwa na wachezaji wa timu hiyo baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali ya Kombe la Kagame dhidi  ya For Mahia ya Kenya uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Azam imeshinda 2-0.
 Shomari Kapombe wa Azam FC akichuana na mchezaji wa timu ya Gor Mahia ya Kenya, Aucho Khalid.
Furaha ya ushindi.
Kocha wa Azam, Stewart Hall (kulia) akipeana mkono na mwenzake wa Gor Mahia.
 Wachezaji wa Azam FC wakishangilia baada ya kumalizika kwa mchezo wa fainali.
Mshambuliaji wa Azam FC, Kipre Tchetche akishangilia goli la pili aliloifungia timu yake.
Mashabiki wa Azam FC.

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...