Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif (wa pili kulia) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammed Javad Zarif (kulia kwa Rais ) alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,[Picha na Ikulu.]
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Rais Samia Azindua Sera ya Elimu na Kukabidhi Mobile Clinic
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini bango maalum lenye ujumbe kuhusu Elimu mara baada ya kuk...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
(Picha na Yahya Charahani) Kwa wale waliokulia maeneo haya, hili ni jambo la kawaida ukitoka mjini, shambani sijui hadi wapi kote ni haya h...
No comments:
Post a Comment