Saturday, November 01, 2014

WAZIRI MKUU MIZENGIO PINDA KATIKA HAFLA YA KUCHANGIA MADAWATI

1Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa tatu kutoka kulia akibonyeza namba ya simu kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.3Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia ) akiangalia moja ya mfano wa dawati katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  madwati 6000 kwa ajili ya wanafunzi  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
4Waziri Mkuu Mizengo Pinda akitoa hotuba yake  katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kuununua madawati 6000kwa ajili ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
5Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Rais Mahusiano na Utaratibu ,Stephen  Wassira  akitatangaza kiasi cha sh. milioni 17 kilichochangwa na wanabunda  ajili ya kuchangia madawati 6000ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini katika hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.6Mke  wa Rais Mama Salma  Kikwetewa pili kutoka (kulia) akiingia katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwa ajili ya kuhudhuria hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo   iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam. Kulia wa kwanza ni Balozi  Mwanaidi  Maajar na kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.6bMke  wa Rais Mama Salma  Kikwete wan ne kutoka (kulia)akiwa katika picha ya pamoja na  baadhi ya wadau   katika ukumbi wa Diamond Jubilee kwenye  hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo   iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.7Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Christopher Majaliwa(kushoto) akifurahia jambo kwenye hafla hiyo na Mstahiki  Meya wa Manispaa ya Ilala ,Jerry Silaa.
9Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama akitangaza wizara yake na taasisi zake ilivyochangia Sh.milioni 100.12Waziri Mkuu Mizengo Pinda wa akizungumza jambo na  Jaji Mstaafu Joseph Warioba hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua vifaa hivyo  iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam kwa ajili ya kuchangia madawati 6000 ya wanafunzi wenye ukosefu  wa madawati nchini .16Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria katika hafla hiyo17Msanii Mwasiti Almasi akituimbuiza na wasanii wenzake kutoka THI kwenye  hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa  na Hassan Maajar Trust yenye lengo la kukusanya Sh. milioni 500 ili kununua  mawadati  6000  ya wanafunzi wenye ukosefu wa vifaa hivyo   iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dares Salaam.
PICHA ZOTE NA MAGRETH KINABO, MAELEZO

No comments:

Rais Samia Awasili Dar es Salaam kwa Treni ya Umeme ya SGR Akitokea Dodoma

Dar es Salaam, 22 Januari 2025 – Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amewasili jijini Dar es Salaa...