Wednesday, September 17, 2014

SHIRIKA LA VIWANGO TANZANIA (TBS) LAELEZA MAJUKUMU YAKE KWA WAANDISHI WA HABARI DAR ES SALAAM

 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela, akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam 
 Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile. (Imeandaliwa na mtandao wa habari za jamii.com-simu namba 0712-727062)
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu majukumu ya shirika hilo jinsi yanavyotekelezwa na kurugenzi ya udhibiti ubora. Kushoto ni Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
 Kaimu Mkurugenzi wa Udhibiti Ubora wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Mary Meela (katikati), akizungumza katika mkutano huo. Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Frank Mvungi na Ofisa Uhusiano wa TBS, Roida Andusamile.
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

No comments:

RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC

  NA VICTOR MASANGU, KIBAHA Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka serikalini kupitia Wizara ya kilimo ...