Friday, September 05, 2014

SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA LATOA MASHINE 28 KWA VIKUNDI VYA VIJANA KILIMANJARO

 MENEJA WA SHIRIKA LA NYUMBA KILIMANJARO SHEHE KOMBO AKIAGANA NA MH. MKUU WA MKOA, LEONIDAS TUTUBET GAMA
 MENEJA WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA BW. SHEHE KOMBO AKIHUTUBIA KWENYE HAFLA HIYO

 MKURUGENZI WA HALMASHAURI YA SIHA AKITOA SALAMU ZA SHUKRANI KWA MKUU WA MKOA KWA NIABA YA HALMASHAURI ZOTE
 MKUU WA MKOA KILIMANJARO AKIMKABITHI  MKURUGENZI WA ROMBO HUNDI YA SHILINGI LAKI TANO KWANIABA YA WAKURUGENZI WOTE
 MKUU WA MKOA KILIMANJARO MH. LEONIDAS GAMA AKIHUTUBIA KWENYE HAFLA HIYO
 PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA MKOA
 WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA WAKIWA KWENYE TUKIO HILO
WAKURUGENZI WA HALMASHAURI WAKIPOKEA MASHINE ZAO.


No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...