Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Auction Mart, Alex Msama akionesha moja kati ya mashine 10 za kudurufia CD za muziki zilizokamatwa na polisi katika msako wa wanaotengeneza CD feki za muziki wa wasanii mbalimbali nchini. Watu 20 wakiwemo wamiliki wa nyumba wawili waliowapangiza watuhumiwa hao. Msama alikuwa anaonesha mashine hizo leo katika Kituo cha Polisi cha Urafiki, Ubungo Dar es Salaam.
Monday, September 01, 2014
MSAMA ANASA CD FEKI ZA MUZIKI NA MASHINE 10 ZA KUDURUFIA ZENYE THAMANI YA SH. MIL. 2000
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA
Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...
-
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Taifa, Nehemia Kyando Mchechu na timu ya Wakurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa akiwa katika ...
-
NATIONAL EXAMINATIONS COUNCIL OF TANZANIA PSLE-2014 EXAMINATION RESULTS ARUSHA DAR ES SALAAM DODOMA IRINGA KAGERA KIGOMA ...
-
Adam Malima James Wanyancha Hamis Kagasheki RAIS Jakaya Kikwete ameteua Baraza la Mawaziri, huku likiwa na sura na damu mchanganyiko. Bar...
No comments:
Post a Comment