Friday, July 01, 2016

SAFARI YA MWISHO YA MAREHEMU MUSSA PINDUA JANA

Mke wa Marehemu Mussa Pindua akiuaga mwili wa Marehemu Mussa Pindua nyumbani kwao Kimara Korogwe kabla ya kuondoka kwenda kijijini kwao Lugoba, Chalinze mkoani Pwani jana jioni. Marehemu alizikwa jana jioni.

Mwili wa Marehemu Mussa Pindua ukitolewa nyumbani kwao Kimara Korogwe kabla ya kuondoka kwenda kijijini kwao Lugoba, Chalinze mkoani Pwani jana jioni.
 Baadhi ya waombolezaji wakishuhudia jeneza la Marehemu Mussa Pindua likiingizwa ndani ya gari kabla ya kuanza safari ya Lugoba.
Safari ya kuelekea Mazikoni Lugoba ikianza.
  Baadhi ya waombolezaji wakishuhudia jeneza la Marehemu Mussa Pindua likiingizwa ndani ya gari kabla ya kuanza safari ya Lugoba. (Halipo pichani)
  Baadhi ya waombolezaji wakishuhudia jeneza la Marehemu Mussa Pindua likiingizwa ndani ya gari kabla ya kuanza safari ya Lugoba.
Waombolezaji kutoka Shirika la Nyumba wakiwa kijijini kwao Marehemu huko Lugoba Chalinze mkoani Pwani wakijiandaa na mazishi.
Ndugu jamaa na marafiki wakiwa kijijini kwao Marehemu huko Lugoba ,Chalinze mkoani Pwani wakijiandaa na mazishi.

 Mwili wa marehemu ukiandaliwa kwaajili ya maziko.
 Paroko wa Kanisa Katoliki akiendesha misa ya wafu kwaajili ya kumzika marehemu Mussa Pindua kijijini kwao Lugoba, Chalinze mkoani Pwani.
Meneja wa Rasilimali watu akisoma wasifu wa Marehemu Musa Pindua baada ya maziko jana jioni.

No comments:

WIZARA YA ARDHI YAPONGEZWA KUTENGA FEDHA KUKAMILISHA MRADI WA MAKTABA

Kamati ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeipongeza Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa kutenga fedha kiasi cha Shiling...