WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA MADAKTARI WA KICHINA LUANGWA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na madaktari wa Kichina ambao wako wilayani Ruangwa kwa ajili ya kupima na kuwatibu wananchi bure. Mazungumzo yao yalifanyika kwenye Ikulu ndogo ya wilaya ya Ruangwa Julai 15, 2016 . Kushoto kwake ni Naibu Balozi wa China nchini, Gou Haodong na kulia kwa Waziri Mkuu ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. Wapili kushoto kwa Waziri Mkuu, ni Katibu Mkuu wa Chama cha Urafiki kati ya China na Tanzania(Tanzania Chinese Associanion), Joseph Kahama.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu )
Comments