MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI TEMEKE
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijiniDar es salam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Temeke wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo jijini Dar es salaam Julai 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Comments