RIPOTI YA KIUCHUMI BARANI AFRIKA YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM
Ofisa Uchumi wa Idara ya Afrika wa Nchi Zinazoendelea kutoka Geneva (Unctad), Claudia Roethlisberger, akizungumza na wadau mbalimbali wa masuala ya uchumi wakati wa uzinduzi wa ripoti ya maendeleo ya kiuchumi barani Afrika iliyofanyika jijini Dar es Salaam,jana. Kulia ni Ofisa habari Umoja wa Mataifa Kitengo cha Mawasiliano (UNIC),Stellah Vuzo.
Ofisa habari Umoja wa Mataifa Kitengo cha Mawasiliano (UNIC),Stellah Vuzo,akizungumza katika uzinduzi wa ripoti hiyo ya maendeleo ya kiuchumi barani afrika. Kushoto ni Ofisa Uchumi wa Idara ya Afrika wa Nchi Zinazoendelea kutoka Geneva (Unctad), Claudia Roethlisberger.
Mtafiti wa Shirika linalojishughulisha na masuala ya utafiti wa masuala ya uchumi (REPOA),Stephen Mwombela,akichangia mada katika mkutano huo.
Wadau mbalimbali wa masuala ya uchumi nchini wakifuatilia kwa makini uzinduzi wa ripoti hiyo .
Comments