MCHEKESHAJI ISMAIL MAKOMBE MAARUFU KWA JINA LA KUNDAMBANDA AFARIKI DUNIA

kundambanda modified
mapambeMsanii wa Vichekesho ISMAIL MAKOMBE maarufu kama KUNDAMBANDA ambae pia alikuwa mgombea ubunge jimbo la Masasi kupitia Chama cha wananchi CUF amefariki Dunia mapema hii Leo. 
Mungu ametoa na Mungu ametwaa. 
Tutakukumbuka Milele Daima.

Comments

Popular posts from this blog

JESHI LA MAGEREZA NCHINI WAJADILIANA NA NHC NAMNA YA KUENDELEZA MAKAZI MAKAO MAKUU DODOMA

Baraza Jipya la Mawaziri